Up next

human wildlife

0 Views· 11/09/24
admin
admin
Subscribers
0

Uhasama Kati Ya Binadamu Na Wanyama Katika Eneo La Chakama Kaunti Ya Kilifi Umesababisha Zaidi Ya Wakazi 10,000 Kupoteza Mali Na Mazao Yao Ya Thamani Ya Zaidi Ya Mamilioni Ya Pesa. Mbunge Wa Magarini Michael Kingi Amenyoshea Wizara Ya Utalii Kidole Cha Lawama Na Kudai Wamepuuzilia Lalama Za Wakazi Hao. Na Kama Mwanahabari Wetu Lucy Riley Anavyotuarifu, Wakazi Wanaitaka Serkali Iingilie Kati Na Kutatua Tata Zao.

Show more

 0 Comments sort   Sort By


Up next